• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa mawaziri wa uchumi na biashara wa nchi za BRICS kufanyika mwezi Agosti huko Shanghai

    (GMT+08:00) 2017-06-22 20:06:00

    Msemaji wa wizara ya biashara ya China Bw. Sun Jiwen amesema, wizara hiyo itaendesha mkutano wa mawaziri wa uchumi na biashara wa nchi za BRICS utakaofanyika tarehe 1 na 2 mwezi Agosti huko Shanghai. Mkutano huo unalenga kufanikisha kiuchumi na kibiashara mkutano wa viongozi wa nchi za BRICS utakaofanyika huko Xiamen, China.

    Bw. Sun amesema, China ina matumaini kuwa pande mbalimbali zitakazohudhuria mkutano huo wa mawaziri zinaweza kufikia maoni ya pamoja kuhusu njia za kurahisisha biashara na uwekezaji, biashara ya huduma, biashara ya bidhaa za kielektroniki, hakimiliki za ujuzi, na ushirikiano wa uchumi na teknolojia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako