• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Watumiaji wa simu Rwanda wapungua

    (GMT+08:00) 2017-06-22 20:17:35

    Idadi ya watu wanaotumia simu za mkononi nchini Rwanda imeshuka mwezi Aprili ikilinganishwa na mwezi Machi.

    Shirika la kuratibu mawasiliano nchini humo RURA linasema linasema idadi ya watumiaji imepungua kutoka milioni 8.4 hadi milioni 8.3.

    Wakati huo huo wateja wanaotumia huduma za simu na kulipa baadaye imeongezea kutoka 115,692 hadi 116,879 mwezi Aprili.

    Kampuni ya kutoa huduma za mawasiliano ya Tigo Rwanda ndio ya pekee iliokuwa na ongezeko la wateja mwezi Aprili huku Airtel na MTN zikiwa na upungufu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako