• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia: Shirika la ndege la Ethiopian laagiza ndege 10 za abiria

    (GMT+08:00) 2017-06-22 20:19:08

    Shirika la ndege la Ethiopian limeagiza ndege 10 za abiria aina ya Airbus A350-900.

    Awali shirika hilo liliagiza ndege zingine 10 sawa na hizo .

    Mkurungezi wa shirika hilo Tewolde GebreMariam amesema ndege hizo mpya zitahudumu kwenye safari za mbalo kati ya Addis Ababa na miji ya Afrika, Ulaya, Mashriki ya Kati na bara Asia.

    Shirika la ndege la Ethiopia ndilo kubwa zaidi barani Afrika la linalopata faida kubwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako