• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Kusini yafuta zuio dhidi ya wanahabari wa nje

    (GMT+08:00) 2017-06-23 08:58:21

    Mamlaka ya usimamizi wa vyombo vya habari nchini Sudan Kusini imefuta zuio dhidi ya wanahabari wa nje na kuahidi uhuru wa utoaji habari bila vizuizi. Mkurugenzi wa kamati ya habari katika Kamati ya uongozi ya mazungumzo ya kitaifa Bw. Alfred Taban, amesema hatua hiyo inalenga kuwaruhusu wanahabari kutoka nchi za nje kwenda nchini humo kutoa habari kuhusu mazungumzo ya kitaifa yanayoendelea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako