• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa lapitisha azimio lililopendekezwa na China

    (GMT+08:00) 2017-06-23 08:58:40

    Baraza la haki za binadamu la Umoja wa mataifa limepitisha azimio lililowasilishwa na China kuhusu "mchango wa maendeleo kwenye kunufaika na haki za binadamu", ikiwa ni mara ya kwanza kwa baraza hilo kupitisha azimio kuhusu masuala ya maendeleo. Azimio hilo linatambua azma ya jumuiya ya kimataifa kujenga jumuiya yenye hatma ya pamoja kwenye mambo ya haki za binadamu, na kuthibitisha kuwa maendeleo yanachangia kwa kiasi kikubwa kunufaika na haki zote za binadamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako