• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwanamfalme Harry asema hakuna mtu yeyote katika ukoo wa kifalme anayetaka kuwa mfalme au malkia

    (GMT+08:00) 2017-06-23 08:58:57

    Mwanamfalme wa Uingereza Harry amezusha mjadala kwenye jamii kwa kusema hakuna mtu yeyote katika ukoo wa kifalme anayetaka kuwa mfalme au malkia. Mwanamfalme Harry alisema hayo alipohojiwa na gazeti la Newsweek la Marekani. Amesema watatekeleza wajibu wao katika wakati mwafaka na kwamba yeye na kaka yake William wanafanya juhudi kuufanya mfumo na ukoo wa kifalme wa Uingereza uendane na wakati na uwe wa kisasa. Pia amemsifu malkia Elizabeth kwa kuwapa nafasi za kufanya maamuzi wao wenyewe.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako