• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchaguzi wa bunge jipya la Afghanistan kufanyika Julai 7 mwakani

    (GMT+08:00) 2017-06-23 08:59:14

    Kamati ya uchaguzi ya Afghanistan imetangaza kuwa uchaguzi wa bunge jipya la nchi hiyo utafanyika Julai 7 mwaka kesho na kazi ya maandalizi ya uchaguzi huo inaendelea. Mwenyekiti wa kamati hiyo amesema mchakato mzima wa uchaguzi huo utafanyika kwenye msingi wa uwazi na haki, na vitendo vya kujaribu kuvuruga uchaguzi huo vitakabiliwa na adhabu za kisheria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako