• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ghassan Salame ateuliwa kuwa mjumbe maalum wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu suala la Libya

    (GMT+08:00) 2017-06-23 16:55:00

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres amemteua Bw. Ghassan Salame kutoka Lebanon kuwa mjumbe wake maalum wa suala la Libya, na kiongozi wa tume ya Umoja wa Mataifa nchini Libya.

    Bw. Ghassan Salame aliwahi kuwa profesa wa uhusiano wa kimataifa katika Chuo cha siasa cha Paris kwa muda mrefu, pia alikuwa mshauri mwandamizi wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, na mshauri wa mambo ya siasa wa tume ya Umoja wa Mataifa nchini Libya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako