• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maandalizi ya Mkutano wa mwaka wa Davos wa majira ya joto ya mwaka 2017 ya Dalian yakamilika

    (GMT+08:00) 2017-06-24 18:17:14

    Mkutano wa mwaka wa Davos wa majira ya joto ya mwaka 2017 ya Dalian utafanyika kuanzia tarehe 27 hadi 29 Juni katika kituo cha mikutano ya kimataifa cha Dalian, China. Hivi sasa kazi ya maandalizi ya mkutano huo zikiwemo ujenzi wa majumba, upashanaji wa habari na utoaji wa huduma ya matibabu yamekamilika.

    Naibu mkurugenzi wa Ofisi ya uratibu wa baraza la Davos la majira ya joto la Dalian Bw. Guo Xikun ameeleza kuwa, baada ya juhudi za miezi minane, hivi sasa kazi ya maandalizi ya mkutano umekamilika, na mji wa Dalian uko tayari kuwakaribisha wageni kutoka nchi mbalimbali.

    Maandalizi ya mkutano huo kwa mwaka huu yanafanyika kwa kufuata kanuni ya mkutano huo ya kutochafua mazingira na kubana matumizi ya fedha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako