• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa salamu za pole kwa China kutokana na tukio la maporomoko ya maji na mawe yaliyotokea mkoani Sichuan

    (GMT+08:00) 2017-06-25 17:59:19

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa jana alitoa taarifa kwa kupitia msemaji wake akitoa salamu za pole kwa watu na serikali ya China kutokana na vifo na majeruhi ya watu katika tukio la maporomoko ya maji na mawe lililotokea mkoani Sichuan.

    Taarifa hiyo imesema Bw. Guterres anawatakia watu waliojeruhiwa kupona mapema. Kama iko haja Umoja wa Mataifa utapenda kutoa misaada kwa China kadiri iwezekanavyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako