• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 20 tangu Hongkong irudi China

    (GMT+08:00) 2017-06-25 18:43:48

    Rais Xi Jinping wa China atakwenda Hong Kong kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 20 tangu Hong Kong irudi China ambayo itafanyika kuanzia Juni 29 hadi Julai 1.

    Taarifa iliyotolewa leo inasema, Rais Xi pia atakuwepo katika uanzishwaji wa utawala wa tano wa mkoa maalum wa Hong Kong.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako