• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 93 hawajulikani walipo baada ya mlima kuporomoka wilaya ya Maoxian mkoani Sichuan, China

    (GMT+08:00) 2017-06-26 09:16:51

    Watu 93 hawajulikani walipo baada ya mlima kuporomoka Jumamosi na kufunika kijiji kimoja katika wilaya ya Maoxian mkoani Sichuan, China, kutokana na mvua kubwa zilizonyesha katika eneo hilo. Hadi kufikia saa nane ya jana mchana, miili ya watu 10 ilikuwa imepatikana kwenye eneo la tukio, na wanne kati yao wametambuliwa. Hivi sasa kazi ya uokoaji bado inaendelea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako