• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu elfu 50 wataka kufungwa kwa vinu viwili vya nyuklia Ubelgiji

    (GMT+08:00) 2017-06-26 09:17:44

    Zaidi ya watu elfu hamsini kutoka Ubelgiji, Ujerumani na Uholanzi wamekusanyika kwenye eneo la mpaka kati ya nchi hizo tatu, wakiitaka mamlaka ya Ubelgiji ifunge vinu viwili vya nyuklia nchini humo, baada ya nyufa kugunduliwa kwenye ukuta wa vinu hivyo. Vituo hivyo viwili vya umeme vya nyuklia vinavyojulikana kama Tihange na Doel vilianza kazi tangu miaka ya 70, na kuzalisha asilimia 55 ya umeme nchini humo. Serikali ya Ubelgiji imeahidi kuacha kabisa kuzalisha umeme kwa nishati ya nyuklia ifikapo mwaka 2025.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako