• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Israel lashambulia tena vituo vya jeshi la Syria

    (GMT+08:00) 2017-06-26 09:18:03

    Taarifa iliyotolewa na jeshi la Syria inasema vikosi vya Israel vimeshambulia tena vituo vya jeshi la Syria hapo jana, ikiwa ni shambulizi la pili ndani ya saa 24. Taarifa inasema shambulizi hilo la pili limechangia "kufufua ari ya makundi ya kigaidi", ambayo yalifanya mashambulizi kadhaa dhidi vya vituo vya jeshi la Syria kwenye eneo la Qunaitera, na kwamba hatua hiyo inaonesha ushirikiano kati ya jeshi la Israel na makundi ya kigaidi ya Nusra Front yenye uhusiano na kundi la Al-Qaida.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako