• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • FIFA kombe la mabara: Ureno yasogea nusu fainali, Mexico yawaondoa wenyeji Russia, Cameroon na Australia ngoma ngumu

    (GMT+08:00) 2017-06-26 09:20:08
    Mabingwa wa Ulaya Ureno wameichapa New Zealand 4-0 huko Saint Petersburg Stadium, mjini Saint Petersburg nchini Russia, na kutinga nusu fainali ya mashindano ya FIFA ya kombe la mabara.

    Ureno ndio wametwaa ushindi wa kundi A na sasa watacheza na mshindi wa pili wa kundi B wakati Mexico, ambao waliwapiga wenyeji Russia 2-1 na kuwatupa nje, wakishika ushindi wa pili wa kundi B na sasa watacheza na mshindi wa kundi A kwenye nusu fainali. Nayo Cameroon na Australia zimetoka sare ya 1-1 katika mechi yao ya pili ya kundi B.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako