• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya yaishikilia Uganda kutwaa kombe la Eldogen

    (GMT+08:00) 2017-06-26 09:20:34
    Timu ya Raga ya Kenya, The Simbas ilihitaji kudra za Mwenyezi Mungu kujaribu kuifunga safu ya Uganda Cranes katika mechi ya raga ya wachezaji 7 kila upande.

    Phillip Wokorach alifungua bao kwa mpira wa adhabu katika nusu ya kwanza na kuifanya Kenya kuongoza kufanya 3-0. Uganda ilijipanga na kuanza mvua ya magoli na hadi mwisho wa mechi Uganda Cranes ikiibuka ushindi wa 10-3 dhidi ya The Simbas wa Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako