• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Treni mpya ya kasi ya China yafanya safari ya kwanza kati ya Beijing na Shanghai

  (GMT+08:00) 2017-06-26 18:44:13

  Treni mpya ya kasi ya China iitwayo Fuxing imefanya safari yake ya kwanza hii leo kati mji wa Beijing na Shanghai.

  Treni hiyo aina ya CR400AF iliondoka kwenye kituo cha treni cha Kusini cha Beijing saa tano na dakika tano asubuhi kuelekea Shanghai, na katika muda huohuo, trendi aina ya CR400BF iliondoka Shanghai kuelekea Beijing.

  Treni hizo mpya za kasi, zinakimbia kwa spidi ya kilomita 400 kwa saa, na zilisanifiwa na kutengenezwa China.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako