• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wafanyabiashara wanaogopa kupoteza soko la maharagwe EU

    (GMT+08:00) 2017-06-26 20:01:57

    Kenya inaonekana kupoteza sehemu ya soko ya mauzo yake ya nje ya maharagwe kuenda Umoja wa Ulaya, Morocco na Guatemala kutokana na gharama kubwa za uzalishaji, ambayo imeibuka.

    Kenya Kwa kawaida imekuwa ikiuza nje maharagwe zaidi na mboga za Asia kwenye soko la Umoja wa Ulaya EU, lakini hali hiyo inabadilika na kuelekea kusini.

    Kilo moja ya maharagwe huuza Sh25 hadi Sh30 nchini, na gharama za usafiri kwenye soko la Umoja wa Ulaya EU ni karibu Sh200, kulingana na FPEAK.

    Guatemala, gharama ya usafiri ni nusu karibu Sh100 kwa kila kilo, ambayo ni sawa na Sh180 kutoka kwenye shamba hadi soko la EU.

    mfuko wa kilo nne ya maharagwe bei yake ni kati ya euro 8 na 10 sawa na Sh231.25 na Sh289 kwa kilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako