• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China asema utaratibu wa nchi moja mifumo miwili ni mzuri zaidi kwa Hong Kong

    (GMT+08:00) 2017-06-26 20:56:49

    Rais Xi Jinping wa China amesifu utaratibu wa "Nchi moja, Mifumo Miwili" kuwa ni mpangilio bora zaidi wa kitaasisi katika kudumisha ustawi wa muda mrefu na utulivu wa Hong Kong.

    Rais Xi, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, amesema hayo alipotembelea maonyesho yaliyofanyika kwenye Jumba la Taifa la Makumbusho hapa Beijing. Rais Xi pia amesifu mafanikio yaliyopatikana Hong Kong katika miaka 20 iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako