• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hamilton amlaumu Vettel kwa kumvurugia ushindi

    (GMT+08:00) 2017-06-27 09:02:42

    Dereva Lewis Hamilton amesema kitendo cha dereva mwenzake Sebastian Vettel kumgonga wakati wa mbio za Azerbaijan Grand Prix ni cha aibu na hakipaswi kufanywa na dereva makini.

    Madereva hao wawili waligongana wakati mbio hizo zikikaribia mwisho baada ya Vettel kuvamia nyuma ya gari la Hamilton na kisha wote wawili kupoteza muelekeo.

    Vetel anasema Hamilton alishika breki kwa maksudi ili kumjaribu. Hamilton akapinga hilo na kusema kitendo hicho sio cha kimichezo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako