• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Arsenal na City zazungumza kubadilishana Sanchez na Aguero

    (GMT+08:00) 2017-06-27 09:04:26

    Arsenal na Manchester City zimeripotiwa zipo kwenye mazungumzo ya kubadilishana Mastraika wao Alexis Sanchez na Sergio Aguero katika Kipindi hiki cha Uhamisho kinachoanza Julai Mosi.

    Meneja wa Man City Pep Guardiola amekuwa akimtaka Alexis Sanchez lakini Arsenal wamekuwa wagumu kumtoa mchezaji yao kwa wapinzani wao wa EPL, Ligi Kuu England.

    Hata hivyo, ripoti hizi zimeeleza kuwa Arsene Wenger, meneja wa Arsenal, atakuwa tayari kumtoa Sanchez kwa kubadilishana na Aguero wa City.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako