• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Machinjio ya Punda yafunguliwa Turkana

    (GMT+08:00) 2017-06-27 09:28:21

    Machinjio ya tatu cha punda nchini Kenya yamefunguliwa katika eneo la Nakwaalele mjini Lodwar, katika kaunti ya Turkana. Kampuni ya Zilzha kutoka China inayomiliki machinjio hayo, itasindika nyama ya punda na ngozi kwa ajili ya usafirishaji hadi China na nchi nyingine za mashariki ya mbali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako