• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China akutana na mwenyekiti wa WEF

    (GMT+08:00) 2017-06-27 09:48:57

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang jana alikutana na mwenyekiti wa Baraza la uchumi duniani WEF Bw. Klaus Schwab na wajumbe wengine wanaohudhuria mkutano wa mwaka wa Davos wa majira ya joto ya mwaka 2017 unaofanyika mjini Dalian, kaskazini mashariki mwa China.

    Bw. Li Keqiang amesifu ushirikiano uliopo kati ya Baraza la uchumi duniani na China, na kusema kauli mbiu ya mkutano huu ni "Kutimiza ukuaji shirikishi katika mapinduzi ya nne ya kiviwanda".

    Bw. Schwab amepongeza sera za China, na kusema Baraza la uchumi duniani linapenda kuimarisha ushirikiano na China, na kutoa mchango katika kufufua uchumi wa dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako