• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • EAC:Thamani ya wakimbizi yafikia dola milioni 450

    (GMT+08:00) 2017-06-27 19:08:55

    Shirika la umoja wa mataifa kitengo cha wakimbizi (UNHCR)limetangaza biashara ya thamani ya dola milioni 450 hadi 500 kila mwaka kwa wakimbizi wanaoishi Rwanda.

    Rwanda ni mwenyeji wa wakimbizi zaidi ya 190,000 kutoka jamhuri ya Demokrasia ya Congo na Burundi walio na kambi 6 na vituo zaidi ya 10 vya biashara.

    Kulingana na ripoti ya UNHCR ,Azam Saber muwakilishi wa shirika hilo Rwanda ni kwamba iwapo wakimbizi wangetambuliwa rasmi na serikali ya Rwanda ,nchi hiyo ingepata kiasi kikubwa cha mapato ya ushuru.

    Uganda imekubali kuweka mikakati ya kuwashiriksha wakimbizi katika biashara rasmi

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako