• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China kufanya ziara nchini Russia, Ujerumani na kuhudhuria mkutano wa kilele wa kundi la G20

    (GMT+08:00) 2017-06-27 19:15:37

    Wizara ya mambo ya nje ya China imesema, rais Xi Jinping wa China atafanya ziara nchini Russia na Ujerumani kuanzia Julai 3 hadi 6.

    Rais Xi pia atahudhuria mkutano wa kilele wa 12 wa kundi la G20 utakaofanyika Julai 7 na 8 huko Hamburg, Ujerumani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako