• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russell Westbrook atwaa NBA, MVP 2016/2017

    (GMT+08:00) 2017-06-28 08:49:34

    Ulikuwa usiku mzuri kwa mchezaji wa OKC Thunder Rusell Westbrook ambapo alichukua tuzo ya MVP wa NBA kwa mwaka 2016/2017 akiwabwaga James Harden, Le Bron James na Kawhi Leornard.

    Russel ambaye wastani wake kwenye NBA ilikuwa ni points 31.8, rebound 10.7 na 10.8 assists alijikuta akitokwa na machozi pale alipopanda stejini na kuanza kutoa shukrani kwa familia yake.

    Mlinzi wa Golden State Warriors Draymond Green ameshinda tuzo ya beki bora wa mwaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako