• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UNHCR yarudisha wakimbizi elfu 67 kutoka Kenya

    (GMT+08:00) 2017-06-28 09:07:06

    Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema limewarudisha wakimbizi wapatao elfu 67 kutoka kambi ya Dadaab kaskazini mashariki mwa Kenya tangu zoezi hilo la kurudi kwa hiari lianze mwezi Desemba mwaka 2014. Kwa mujibu wa UNHCR, kutokana na msukosuko wa kibinadamu uliodumu kwa miongo mitatu nchini Somalia, zaidi ya watu milioni 2 walilazimika kukimbia machafuko, milioni 1.1 kati yao wamekuwa wakimbizi wa ndani na wengine laki 9 walikimbilia nchi za nje kutafuta usalama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako