• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kiongozi wa ujasusi wa Ukraine auawa katika shambulizi la mabomu

    (GMT+08:00) 2017-06-28 09:07:24

    Wizara ya mambo ya ndani ya Ukraine imethibitisha kuwa kiongozi wa ujasusi wa wizara ya ulinzi ya nchi hiyo aliuawa katika mlipuko wa mabomu yaliyotegwa kwenye gari katikati ya mji wa Kiev. Video iliyotolewa na vyombo vya habari vya Ukraine inaonesha kuwa mlipuko huo ulitokea wakati gari lenye mabomu lilipokuwa linaenda, na dereva wake alikufa papo hapo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako