• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Iraq lakomboa nusu ya mji mkongwe wa Mosul

    (GMT+08:00) 2017-06-28 10:03:20

    Jeshi la Iraq limetoa taarifa ikisema limekomboa nusu ya mji mkongwe wa Mosul kutoka kwa wapiganaji wa kundi la IS.

    Taarifa inataja maeneo kadhaa ambayo bado yanadhibitiwa na kundi la IS, ikiwemo al-Farouq al-Thaniyah, Raas al-Kour na al-Maidan, Bad al-Jadid, Bab al-Toub na Sarijkhanah.

    Ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa imesema raia karibu laki moja bado wamekwama kwenye maeneo yanayodhibitiwa na kundi la IS katika mji mkongwe magharibi mwa Mosul, ambao wanatumiwa na wapiganaji wa kundi hilo kama ngao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako