• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shambulizi kubwa la mtandao wa internet lazikumba nchi mbalimbali

    (GMT+08:00) 2017-06-28 09:40:20

    Shambulizi la kirusi cha Kompyuta cha "WannaCry" aina ya ransomware lilitokea jana na kuziathiri nchi mbalimbali za Ulaya, huku wahanga wakubwa wakiwa nchi za Ulaya Magharibi, Russia na Ukraine.

    Zaidi ya makampuni 80 nchini Russia na Ukraine yamekumbwa na shambulizi hilo, ikiwa ni pamoja na kampuni kubwa ya mafuta ya Rosneft. Nchini Ukraine kompyuta za subway mjini Kiev, maduka ya Auchan, mashirika ya simu, benki na uwanja mmoja wa ndege pia zilishambuliwa.

    Kirusi kuinachoenezwa kwenye shambulizi hilo kinafanana na kurusi kilichoenezwa kwenye shambulizi lilitokea mwezi uliopita, na kuathiri nchi 150 duniani. Kirusi cha sasa kinazuia mtumiaji kutumia kompyuta yake, na kudai dola 300 ili kuifungua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako