• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Balozi mpya wa Marekani nchini China ategemea ushirikiano wa kina zaidi kati ya nchi hizo

    (GMT+08:00) 2017-06-28 17:48:42

    Balozi mpya wa Marekani nchini China Terry Branstad ameahisi kufanya kazi na upande wa China kwa ajili ya manufaa ya watu wa nchi zote mbili na dunia kwa ujumla.

    Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili hapa Beijing, balozi Branstad amesema anatambua kuwa uhusiano kati ya China na Marekani ambazo ni nchi kubwa kiuchumi duniani ni muhimu sana, na kwamba pande hizo mbili zinahitaji kufanya kazi kwa pamoja kushughulikia masuala muhimu, ikiwemo suala la nyuklia katika Peninsula ya Korea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako