• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Noti bandia inaongoza nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2017-06-28 19:24:40

    Noti bandia katika benki za Kenya ni jambo ambalo limekuwa la kawaida.

    Uchunguzi wa kitaifa uliotolewa hivi karibuni na Benki Kuu ya Kenya inaonyesha kuwa mawakala wa fedha za simu, ambao kwa kiasi kikubwa inahusisha ajenti wa M-Pesa, walikuwa na visa 24,562 vya noti bandia, ambayo ni asilimia 97 ya visa vya udanganyifu.

    Wakala wa benki waliripoti kesi 1,297 vya udanganyifu na kati yao asilimia 75 ni pesa bandia.

    Uchunguzi wa miezi sita uliofanywa mwaka 2015, ambao matokeo yake yalitolewa wiki iliyopita na Benki Kuu ya Kenya (CBK), imepata kesi 27,196 za udanganyifu.

    Kupitia ripoti ya kila mwaka ya CBK, ni kwamba visa vya noti bandia vilipungua kwa kiasi Matendo mabaya yalipungua kwa kiasi kidogo.

    Noti bandia ilishuka chini kutoka 139 mwanzoni mwa mwaka 2015 hadi mwezi Juni hadi 120 mwanzoni mwa mwaka 2016, hadi mwezi Juni 30.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako