• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Marekani kuhudhuria maadhimisho ya siku ya taifa ya Ufaransa

    (GMT+08:00) 2017-06-29 09:06:01

    Ikulu ya Marekani imesema rais Donald Trump wa nchi hiyo atafanya ziara nchini Ufaransa Julai 14 na kuhudhuria maadhimisho ya siku ya taifa la Ufaransa. Taarifa ya ikulu imesema, rais Trump atatumia fursa ya ziara hiyo kuimarisha ushirikiano kati ya Marekani na Ufaransa haswa kwenye mambo ya uchumi na mapambano dhidi ya ugaidi, na pia anatarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya miaka 100 ya Marekani kushiriki kwenye Vita kuu ya kwanza ya dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako