• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Korea Kaskazini yatangaza kuwapa adhabu ya kifo watu waliojaribu kumwua kiongozi wa nchi hiyo

    (GMT+08:00) 2017-06-29 09:06:20

    Taarifa ya pamoja iliyotolewa jana na wizara ya ulinzi, wizara ya usalama wa umma na idara kuu ya kuendesha mashtaka ya Korea Kaskazini imetangaza kuwapa adhabu ya kifo watu wote waliojaribu kumwua kiongozi wa nchi hiyo Bw. Kim Jong-Un. Taarifa inasema mwaka huu mamlaka ya usalama nchini Korea Kaskazini iliwakamata magaidi walioingia kwa siri nchini humo na kupanga kumwua kisirisiri kiongozi wa nchi hiyo kwa kutumia kemikali ya sumu, chini ya uongozi wa idara za ujasusi za Marekani na Korea Kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako