• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Afrika Kusini yatakiwa kutatua ukosefu wa ajira

    (GMT+08:00) 2017-06-29 09:49:40

    Chama cha mMuungano wa vyama vya wafanyakazi nchini Afrika Kusini COSATU kiumesisitiza kuwa serikali ya nchi hiyo inatakiwa kufanya mkutano kutunga mpango wa kutatua ukosefu wa ajira.

    Msemaji wa chama hichoki Sizwe Pamla amesema kiwango cha juu cha ukosefu wa ajira nchini humo ambacho ni asilimia 27 hivi kimekuwa changamoto kubwa kwa serikali inayoongozwa na chama cha ANC.

    Mwanzoni mwa mwezi ujao, Chama cha chama hicho ANC kitafanya mkutano wa sera mwezi Julai mwanzoni mwa mwezi Julai na kutunga hatua za baadaye za kukabiliana na hali ya kiuchumi ya hivi sasa. Pamla Msemaji huyu amesema wajumbe wa Chama cha COSATU watakaokitakapohudhuria mkutano huo wakitapinga mpango wa sera zinazopenda mabadilikoza soko huria ambazo umesababisha zimesababisha uchumi wa nchi hiyo kudhibitiwa na wakiritimba wachache na watu milioni 9 kukosa ajira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako