• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya dunia yakadiria ukuaji tulivu wa uchumi wa Zambia

    (GMT+08:00) 2017-06-30 09:05:54

    Ripoti iliyotolewa jana na benki ya dunia inakadiria kuwa uchumi wa Zambia utakua kwa utulivu, baada ya kudidimia kwa miaka miwili kutokana na vyanzo vya ndani na nje ikiwemo kushuka kwa bei ya bidhaa na ukosefu wa umeme. Ripoti inasema uchumi wa Zambia utakua kwa asilimia 4.1 mwaka huu na asilimia 5 mwaka kesho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako