• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania:Mahindi Tanzania hayataagizwa kutoka nje

    (GMT+08:00) 2017-06-30 19:08:06

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameendelea kusisitiza kuwa hakuna chakula cha Tanzania kuuzwa nje ya nchi hiyo.

    Waziri Majaliwa ametoa msisitizo huo wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Ritta Kabati (CCM) aliyetaka Serikali iruhusu kusafirisha mahindi nje ya nchi.

    Amesema suala hilo nlililozungumziwa kwenye Baraza la Eid kule mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na lilisisitiza kudhibiti na kuzuia usafirishaji wa chakula na hasa Mahindi nje ya nchi.

    Mwaka jana mwezi Novemba mpaka Februari mwaka huu Tanzania ilikosa ilikosa mvua za msimu inavyotakiwa na tukapata usumbufu mkubwa ndani kwa maeneo mengi kukosa chakula cha kutosha.

    Hata hivyo kwa sasa imechangiwa na utamaduni umebadilika ambapo Wachaga,Wahaya baada ya kula ndizi sasa wanakula ugali kwa wengi , wamasai waliokuwa wanakula nyama tu sasa wanakula ugali

    .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako