• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji wanane wa Taliban wauawa nchini Afghanistan

    (GMT+08:00) 2017-07-01 16:53:33

    Wapiganaji wanane wa kundi la Taliban akiwemo kamanda mkuu wameuawa, wakishutumiwa kujaribu kushambulia wilaya ya Dasht-e-Archi katika jimbo la Kaskazini la Kunduz siku ya Jumamosi.

    Gavana wa wilaya hiyo Nasrudin Nazari ameliambia shirika la habari la China Xinhua kwamba wanamgambo wa Taliban leo asubuhi walishambulia makao makuu ya wilaya hiyo, lakini vikosi vya usalama vililipa kisasi na kuwaua waasi wanane ikiwa ni pamoja na kamanda mkuu wa Taliban Mullah Mudasir papo hapo. Polisi wawili wamejeruhiwa katika mapigano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako