• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Polisi wa Mexico waua watu 19 wenye silaha

    (GMT+08:00) 2017-07-02 17:37:17

    Tukio la watu wenye silaha kuwashambulia polisi lililotokea mwishoni mwa mwezi Juni kwenye jimbo la Sinaloa kaskazini magharibi mwa Mexico, na watu 19 wenye silaha waliuawa na polisi.

    Serikali ya Mexico ilitoa taarifa ikisema kuwa watu 19 wenye silaha waliopanda magari manne waliwafyatulia risasi polisi 15 karibu na bandari ya Mazatlan kwenye jimbo la Sinaloa. Polisi waliwaua watu hao wote na kunyang'anya silaha zaidi 20.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako