• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Afrika uko kuendeleza zaidi ushirikiano wake na China kwenye sekta ya miundombinu

    (GMT+08:00) 2017-07-03 08:38:30

    Umoja wa Afrika umepongeza uwekezaji wa China katika sekta ya miundombinu barani humo, na kueleza nia yake ya dhati ya kuimarisha ushirikiano huo.

    Akizungumza na waandishi wa habari kando ya mkutano wa 29 wa kilele wa Umoja huo mjini Addis Ababa, Ethiopia, kamishna wa Umoja huo anayeshughulikia miundombinu na nishari Dr. Amani Abou-Zeid ameipongeza China kwa uwekezaji wake kwenye miradi ya miundombinu, na teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) na nishati. Amesema China ni mwenzi mkubwa katika sekta mbalimbali, na ni mshiriki muhimu wa miradi ya maingiliano barani Afrika.

    Dr. Abou-Zeid amesema, Umoja wa Afrika unatazamia kuendeleza zaidi ushirikiano na China katika sekta mbalimbali ikiwemo miundombinu na nishati.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako