• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zuio la kubeba laptop kwenye ndege kutoka Abu Dhabi hadi Marekani lafutwa

    (GMT+08:00) 2017-07-03 08:39:48

    Wizara ya usalama wa ndani ya Marekani imetangaza kufuta zuio la kubeba zana za kielektroniki, ikiwemo laptop, kwenye ndege kutoka Abu Dhabi hadi Marekani. Uamuzi huo ulitolewa kufuatia "tathmini ya makini kufanyika kuhusu hatua za kiusalama zinazochukuliwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abu Dhabi". Kwa mujibu wa kanuni mpya iliyoanza kutekelezwa jana, abiria wanaokwenda Marekani kwa kupanda ndege za shirika la ndege la Etihad Airways, wanaruhusiwa kubeba zana za kielectroniki, ikiwemo laptop na tablet, lakini wanatakiwa kufanyiwa ukaguzi zaidi wa kiusalama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako