• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kongamano la haki za binadamu kati ya China na Ulaya lafanyika Uholanzi

    (GMT+08:00) 2017-07-03 08:40:05

    Kongamano la haki za binadamu kati ya China na Ulaya kwa mwaka huu limefanyika jana huko Amsterdam nchini Uholanzi, ambapo wataalamu na wasomi zaidi ya hamsini kutoka China na Ulaya walibadilishana maoni kuhusu jinsi ya kuhakikisha haki na maslahi ya walemavu. Akihutubia ufunguzi wa kongamano hilo, naibu mkurugenzi wa ofisi ya habari ya Baraza la serikali la China Bi. Cui Yuying amesema anatumai kuwa wataalamu wa China na Ulaya watatumia vizuri fursa ya kongamano hilo kuzidisha maelewano kwenye msingi wa kufundishana na kuheshimiana, ili kusukuma mbele mawasiliano kati ya pande hizo mbili kwenye masuala ya haki za binadamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako