• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Aliyekuwa waziri mkuu wa Israel Bw. Ehud Olmert atoka gerezani baada ya kutumikia kifungo cha miezi 16

    (GMT+08:00) 2017-07-03 08:40:21

    Aliyekuwa waziri mkuu wa Israel Bw. Ehud Olmert aliyehukumiwa kifungo cha miezi 27 jela kwa makosa ya rushwa na kuzuia utendaji wa sheria, aliachiwa huru jana, baada ya kutumikia kifungo cha miezi 16 gerezani. Kamati ya dhamana ya idara ya usimamizi wa magereza nchini Israel ilitangaza kumpunguzia Bw. Ehud Olmert muda wa kifungo na kumruhusu atoke gereza jana kutokana na utendaji wake mzuri akiwa gerezani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako