Polisi nchini Iraq imesema watu 14 wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa katika shambulizi la kujitoa mhanga lililotokea jana kwenye kambi ya wakimbizi wa ndani mkoani Anbar magharibi mwa nchi hiyo.
Polisi wamesema, kambi hiyo iko kilomita 35 magharibi mwa Maladi, mji mkuu wa mkoa wa Anbar, na kwamba mshambuliaji huyo aliingia kambi hilo na kulipua bomu alilokuwa amevaa.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |