• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Klabu ya Korea kukutana na Polisi Zanzibar kesho mechi ya kirafiki

    (GMT+08:00) 2017-07-03 09:26:09

    Klabu ya Halelujah fc inayoshiriki ligi daraja la pili Korea Kusini itakutana na timu ya Polisi Zanzibar katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa kesho katika uwanja wa Amani.

    Mchezo huo ni kwa ajili ya kudumisha ushirikiano baina ya nchi hizo mbili, na kutafuta vipaji vya soka kwa wachezaji wa Zanzibar kwenda kucheza soka la kulipwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako