• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping aanza ziara nchini Russia, Ujerumani na kuhudhuria mkutano wa G20

    (GMT+08:00) 2017-07-03 18:27:50

    Rais Xi Jinping wa China amefunga safari leo asubuhi kuelekeza ziarani nchini Russia na Ujerumani kwa mialiko ya rais Vladmir Putin wa Russia, rais Frank-Walter Steinmeier wa Ujerumani na chansela wa Ujerumani bibi Angela Merkel, Pia atahudhuria mkutano wa 12 wa viongozi wa G20 mjini Hamburg, Ujerumani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako