• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China apongeza kufanyika kwa mkutano wa 29 wa viongozi wa Umoja wa Afrika

    (GMT+08:00) 2017-07-03 18:47:06

    Rais Xi Jinping wa China ametoa salamu za pongezi kwa kufuatia kufunguliwa kwa mkutano wa 29 wa viongozi wa Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia.

    Rais Xi amesema Umoja wa Afrika unaendelea kusukuma mbele mchakato wa mshikamano wa Afrika na kuhamasisha nchi za Afrika kutoa sauti moja kwenye masuala zinayofuatilia zaidi ya kikanda na kimataifa.

    Rais Xi amesisitiza kuwa utekelezaji wa makubaliano ya Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika umepata mafanikio, na China itaendelea kusukuma mbele maendeleo ya wenzi wa kimkakati kati ya pande hizo mbili, na kuwanufaisha watu wote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako