• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Serikali ya Uingereza imesema biashara bila ushuru itaendelea kwa nchi zinazoendelea

    (GMT+08:00) 2017-07-03 19:28:21

    Serikali ya Uingereza imesema itaendelea kufanyabiashara na nchi zinazoendelea kama vile Uganda, Ethiopia, Tanzania na Rwanda bila ushuru, imetokana na mazungumzo ya Brexit na Umoja wa Ulaya.

    Mwaka 2015, asilimia 79 ya chai iliyotumwa nchini Uingereza ilitoka kwa 'nchi zilizofaida biashara ya bila ushuru ambayo ilifikia pauni milioni 186.

    Idara ya Maendeleo ya Kimataifa DFID inasema pauni milioni 129 ilitoka kwa uchumi wa Afrika – pauni milioni 111 kutoka Kenya.

    Kwa jumla Uingereza iliagiza tani 103,000 za chai kutoka kwa wafadhili mpango huo wa biashara bila uashuru.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako