• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping awasili Russia na kuanza ziara ya kiserikali

    (GMT+08:00) 2017-07-03 21:06:22

    Rais Xi Jinping amewasili Moscow, Russia na kuanza ziara ya kiserikali nchini humo. Rais Xi amesema China na Russia ni majirani, marafiki na wenzi wema. Anatarajia katika ziara hiyo atabadilishana maoni kwa kina na rais Vladmir Putin kuhusu kuimarisha ushirikiano kati ya pande mbili, masuala makubwa ya kimataifa na kikanda, na kusukuma mbele uhusiano wa wenzi wa kimkakati katika pande zote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako