• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sakata la ubadhilifu TFF: Malinzi na wenzake waendelea kusota rumande

    (GMT+08:00) 2017-07-04 08:44:45
    Mahakama ya hakimu mkazi kisutu imetupilia mbali maombi ya upande wa yetetezi wa kuomba dhamana ya Rais wa shirikisho la soka Tanzania (TFF) Jamal Malinzi na katibu mkuu Celestine Mwesigwa pamoja na mkurugenzi wa fedha Nsiende Mwanga hadi Julai 17.

    Hakimu mkazi mkuu, Wilbard Mashauri amesema kwa upande wa utetezi wenyewe wanatambua kuwa mashtaka ya utakatishaji fedha hayana dhamana. Watuhumiwa hao wanakabiliwa na kesi ya kughushi nyaraka za serikali pamoja na utakatishaji pesa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako